"Tushike County"
— zpíval Joefes
„Tushike County“ je skladba provedená dne keňský vydaná dne 13 březen 2025 na oficiálním kanálu nahrávací společnosti – „Joefes“. Objevte exkluzivní informace o „Tushike County“. Najděte text písně Tushike County, překlady a fakta o písni. Výdělky a čisté jmění se shromažďují prostřednictvím sponzorství a dalších zdrojů podle informací nalezených na internetu. Kolikrát se píseň „Tushike County“ objevila v sestavených hudebních žebříčcích? „Tushike County“ je známé hudební video, které se umístilo v populárních top žebříčcích, jako je Top 100 Keňa skladeb, Top 40 keňský skladeb a další.
|
Download New Songs
Listen & stream |
|

"Tushike County" Fakta
„Tushike County“ dosáhl na YouTube celkem 9.4K zhlédnutí a 475 hodnocení Líbí se mi.
Píseň byla předložena 13/03/2025 a strávila 0 týdnů v žebříčcích.
Původní název hudebního videa je „JOEFES, UNSPOKEN SALATON, ONLY ONE DELO & DIASO - TUSHIKE COUNTY | OFFICIAL VISUALIZER“.
„Tushike County“ bylo zveřejněno na Youtube na 13/03/2025 09:00:06.
"Tushike County" Text, skladatelé, nahrávací společnost
"Tushike County" by Joefes, Unspoken Salaton, Diaso & Only One Delo
Stream:
#BlackMarketRecords #joefes #unspokensalaton #diaso #onlyonedelo
Tushike County Lyrics;
Leo sina form
Hakuna siku day sijajibamba
Tuko na clamor stu tuko zone
Bloody skill sick si hudunga pamba
Leo kumechrome
Tushike county tufike chuom
Tufike zabe si tusake bomb
Tushike county tufike chuom
Tufike zabe si
Sms ya pesa kukuwa na dhidhi
FYI fyp haikosi DC
Si give an F mi ni G uliza Riggy
Pushing P coz my lady is a Q T
Usipake chafu usiniguze looku shifre
Denge ni nganya akiniguza nishadiste
Ka una bong tunaeza bond
Tushike county tei ya madon
Leo kumechrome
Tushike county tufike chuom
Tufike zabe si tusake bomb
Tushike county tufike chuom
Tufike zabe si kumechrome
Tushike county tufike chuom
Tufike zabe si tusake bomb
Tushike county tufike chuom
Tufike zabe si tusake
Leo ni Leo kila mtu ni tei
Ita Kevo brayo na pia uite kina fei
Niko na ganji Leo sijali bei
Zikinishika I hope mtanibail
Niko na form haitaji uniform
Huku watu wamechrome
Jicho nyanya juu ya ndom
Unafanya nini home
Kuja party na don
Mbona uko alone come tuingie kwa zone
Tiki tiki taka taka
Hapa kuzitoka pewa vile unataka
Wamenisaka lakini hawaezi nipata
Mteja hapatikani juu nimelalia mapaja
Leo kumechrome
Tushike county tufike chuom
Tufike zabe si tusake bomb
Tushike county tufike chuom
Tufike zabe si kumechrome
Tushike county tufike chuom
Tufike zabe si tusake bomb
Tushike county tufike chuom
Tufike zabe si tusake
Tushike county tujisunde kwa hio chuom
Cheki mbang'a ako inadi basi seti kwa hio nguo
Nimeshika chaser nina yangu hapa juo
Twende hivo ndani nineona fala flani bloody fuol
Nimemedi kuna vile zimenishikisha
Njeri na fei mmoja wao ananikimbiza
Mnataka joh nidie kuna ndoto sijatimiza
Nikistaga nizimishe hapo kwa kiti
Sa mdogo dogo dogo baada ya party kwangu picnic
Niko kwa zone na natakikana meeting
Kaongeze tei wakipiga tenje niko busy
Niko juu ya form najiskia kwanza bigi
Leo kumechrome
Tushike county tufike chuom
Tufike zabe si tusake bomb
Tushike county tufike chuom
Tufike zabe si kumechrome
Tushike county tufike chuom
Tufike zabe si tusake bomb
Tushike county tufike chuom
Tufike zabe si tusake
Tushike County 3 Piece: